Ijumaa, 28 Februari 2014

 HII ILIKUWA NI SIKU AMBAYO MMILIKI WA KAMPUNI YA ISACK GARDEN GRAPHIC DESIGN AND PLANTING FLOWERS LTD. ALITEMBELEA MOJA YA BUSTANI YA MAUWA WILAYA YA ILALA NA KUTOA MAFUNZO KWA VIJANA WATUNZAJI WA BUSTANI HIYO JINSI AMBAVYO WANAWEZA KUTUNZA BUSTANI ZAO ZA MAUA NA YASINYAUKE.
 HAPA AKITOA MAELEKEZO NJISI YA KUPANGA MAUA KWENYE MISTALI AMBAYO HAITAKUWA NA MADHALA KWENYE MICHE HIYO YA MAUA,PIA NA VIPIMO VYA UWEKAJI WA MBOLEA KWENYE MAUA .
 HAPA AKIKAGUA HASA UDONGO ULIOTUMIKA KUOTESHA MICHE HII.MARA NYINGI MICHE AU MAUA .1 UNAWEZA UKAWA UNAWEKA MAJI YA KUTOSHA NA MBOLEYA YA KUTOSHA.LAKINI CHAKUSHANGAZA UKAONA BADO MAUA AU NYASI ZAKO ZINANYAUKA PAMOJA NA JINSI UNAVYO ZITUNA NA KUTUMIA GHALAMA KUBWA SANA YA UNUNUZI WA MBOLEA,MAJI NA MADAWA.
 HII ILIKUWA PIA NI SIKU YA KUTAIRI BAADHI YA MICHE YA MAUA,MITI YA MAUA HUTAHILIWA KITAALAMU ILI ISHIJE IKAWA MITI BADALA YA MAUA.
 HII NI BAADHI YA MITI AMBAYO ILIPIGWA DAWA SIKU YA UKAGUZI WA BUSTANI HII.SASA INAFAA KUPANDWA KATIKA ENEO LO LOTE LILE NA IKAKUBALI KUOTA NA KUSHAMIRI VIZURI.
UNAEZA UKAONA JINSI MAUA HAYA YANAVYO SHAMILI NA KUTUTIA,MAANA TAYARI YAMEPATA DAWA NA HAYATAWEZA KUKABILIWA TENA NA VIJIDUDU AMBAVYO VINAWEZA VIKALETA MADHALA YA AFYA YA MAUA HAYA.
WATU WENGI HASA HAPA NCHINI TANZANIA HUPENDA SANA BUSTANI ZA MAUA,CHA AJABU WENGI MALALAMIKO YAO YANA FANANA YAANI WANAKILIYO CHAAINA MOJA.
1. HUDAI KUWA WANAJITAHIDI SANA KUTUNZA BUSTANI ZAO LAKINI BADO MAUA YANA NYAUKA.
2. HUWEKA MBOLEA YA KUTOSHA ILA BADO HAILI NA AFYA YA BUSTANI ZAO HUWA MBAYA.
3. HUWEKA MAJI KILA SIKU NINAPOSEMA KILA SIKU WENGI WANAELEWA KUWA NI MARA MBILI KWA SIKU ASUBUHI NA JIONI,LAKINI BADO MAUA YAO YANA NYAUKA.
4.HUAJILI KIJANA WA KUTUNZA BUSTANI NA HUMLIPA GHARAMA KUBWA LAKINI BUSTANI ZAO HAZIRIDHISHI.
HAYA MAMBO MA NNE NDIYO NAKUMBANA NAYO NINAPOTEMBELEA BUSTANI NYINGI HAPA NCHINI,UTAKUTA HALI HII NI HAPA KWETU TU TOFAUTI NA NCHI YA MALAWI ,PIA UTAKUTA WENGI HUTUMIA NYASI KUTOKA NCHI YA MALAWI .NA HUSHINDWA WAFANYEJE NA WATUMIE NJIA GANI.SASA ISACK GARDEN GRAPHIC DESIGN AND PLANTING FLOWERS LTD. TUNATIBA YA BUSTANI YAKO,TAYARI BAADHI YA BUSTANI TULIZOZITEMBELEA AU KUZITENGENEZA WENYEWE WAMEFAIDIKA NA HAKUNA HATA MMOJA AMBAYE AMEWAHI KULALAMIKA NA MATATIZO HAYA.

0 comments:

Chapisha Maoni