Ijumaa, 28 Februari 2014

HILI NI GOGO LA MTI LINALO TENGENEZWA KWA KUTUMIA CEMENT ,NONDO ,NA BANDIG WAYA.WATU WENGI HUPENDA KULIWEKA  BANDE MBILI ZA MLANGO WA NYUMBA AU WA GATE KUBWA,NI GOGO LINALO JENGWA KWA UTAALAMU  WA HALI YA JUU SANA NA HUDUMU KWA MUDA MLEFU.PIA UNAWEZA UKALIWEKA SEHEMU YO YOTE ILE YA BUSTANI YAKO.MAANA LIMETENGENEZWA KWA KUWA NA SEHEMU ZA KUPANDA MITI YA MAUA  AINA YO YOTE ILE.

0 comments:

Chapisha Maoni