Ijumaa, 28 Februari 2014

 HII NI SWIMMING POLL YA KISASA NA HASA KWA HAPA TANZANIA TUMEMJENGEA MTU MMOJA TU,NI MCHOLO UNAOPENDEZA PIA TUMETUMIA ZEGE TUPU BILA YA TOFALI.
 HII SWIMMING POOL INATARAHIWA KUJENGWA NYA SHOZI KAMA UMEONA MCHOLO WETU WA BUSTANI YA NYUMBA MOJA HAPA ,KATIKA MAELEZO YAKE NI MKOA WA DAR-ES SALAAM WILAYA YA KINONDONI MTAA WA NYASHOZI. .HII NI YATOFALI NA JUU KAMA UNAVYOONA IMEWEKEWA MBAO KIUTAALAMU SANA .
 SWIMMING POOL HII IMEJENGWA KWA KUTUMIA ZEGE PIA UNAWEZA UKATUMIA TOFALI NA IKAWA IMARA PIA.
 HII IMEJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI PIA INAWEZA KUJENGWA KWA KUTUMIA ZEGE TU .VILE MTEJA WETU ANAVYOWEZA AKAPENDA KUJENGEWA PIA LANGI YA MAJI TUNAWEZA KUWEKA ILE UIPENDAO YO YOTE ILE SI LAZIMA IWE KAMA HII.
 SWIMMING POOL HII KAMA UNAVYOIONA TUMEIJENGA KWA KUTUMIA ZEGE PIA INAWEZA IKAJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI .PIA UNAONA INA SEHEMU MBILI ZA KUOGEREA HAPO MOJA NI YA KINA KILEFU NA MOJA NIAKINA KIFUPI,KWA AJILI HASA YA WATOTO WASIO WEZA AU KUJUA KUOGEREA.
 SWIMMING POOL HII INAITWA 8 HII IMEJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI PIA INAWEZA KUJENGWA KWA KUTUMIA ZEGE TU.
 HII IMEJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI  PIA INAWEZA IKAJENGWA KWA KUTUMIA ZEGE TU .
 HII IMEJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI NA ZEGE VYOTE VIMETUMIKA HAPA .
 HII NAYO PIA  IMEJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI NA ZEGE VYOTE VIMETUMIKA HAPA .
 HII IMETUMIA ZEGE TU INA SWIMMING POOL YAYI  PIA INAWEZA KUJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI TU.
  HII NAYO PIA  IMEJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI NA ZEGE VYOTE VIMETUMIKA HAPA
.
  HII IMETUMIA ZEGE TU INA SWIMMING POOL YAYI  PIA INAWEZA KUJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI TU.
 HII IMETUMIA ZEGE TU INA SWIMMING POOL YAYI  PIA INAWEZA KUJENGWA KWA KUTUMIA TOFALI TU.
PIA TUNAWEKA PEVING,LANGI NA MAPAZIA KITALAMU NA NAIMANI UKIFANYIWA KAZI NA KAMPUNI YETU UTAFURAHIA KAZI YETU NA UTAPENDA.
 HII ILIKUWA NI SIKU AMBAYO MMILIKI WA KAMPUNI YA ISACK GARDEN GRAPHIC DESIGN AND PLANTING FLOWERS LTD. ALITEMBELEA MOJA YA BUSTANI YA MAUWA WILAYA YA ILALA NA KUTOA MAFUNZO KWA VIJANA WATUNZAJI WA BUSTANI HIYO JINSI AMBAVYO WANAWEZA KUTUNZA BUSTANI ZAO ZA MAUA NA YASINYAUKE.
 HAPA AKITOA MAELEKEZO NJISI YA KUPANGA MAUA KWENYE MISTALI AMBAYO HAITAKUWA NA MADHALA KWENYE MICHE HIYO YA MAUA,PIA NA VIPIMO VYA UWEKAJI WA MBOLEA KWENYE MAUA .
 HAPA AKIKAGUA HASA UDONGO ULIOTUMIKA KUOTESHA MICHE HII.MARA NYINGI MICHE AU MAUA .1 UNAWEZA UKAWA UNAWEKA MAJI YA KUTOSHA NA MBOLEYA YA KUTOSHA.LAKINI CHAKUSHANGAZA UKAONA BADO MAUA AU NYASI ZAKO ZINANYAUKA PAMOJA NA JINSI UNAVYO ZITUNA NA KUTUMIA GHALAMA KUBWA SANA YA UNUNUZI WA MBOLEA,MAJI NA MADAWA.
 HII ILIKUWA PIA NI SIKU YA KUTAIRI BAADHI YA MICHE YA MAUA,MITI YA MAUA HUTAHILIWA KITAALAMU ILI ISHIJE IKAWA MITI BADALA YA MAUA.
 HII NI BAADHI YA MITI AMBAYO ILIPIGWA DAWA SIKU YA UKAGUZI WA BUSTANI HII.SASA INAFAA KUPANDWA KATIKA ENEO LO LOTE LILE NA IKAKUBALI KUOTA NA KUSHAMIRI VIZURI.
UNAEZA UKAONA JINSI MAUA HAYA YANAVYO SHAMILI NA KUTUTIA,MAANA TAYARI YAMEPATA DAWA NA HAYATAWEZA KUKABILIWA TENA NA VIJIDUDU AMBAVYO VINAWEZA VIKALETA MADHALA YA AFYA YA MAUA HAYA.
WATU WENGI HASA HAPA NCHINI TANZANIA HUPENDA SANA BUSTANI ZA MAUA,CHA AJABU WENGI MALALAMIKO YAO YANA FANANA YAANI WANAKILIYO CHAAINA MOJA.
1. HUDAI KUWA WANAJITAHIDI SANA KUTUNZA BUSTANI ZAO LAKINI BADO MAUA YANA NYAUKA.
2. HUWEKA MBOLEA YA KUTOSHA ILA BADO HAILI NA AFYA YA BUSTANI ZAO HUWA MBAYA.
3. HUWEKA MAJI KILA SIKU NINAPOSEMA KILA SIKU WENGI WANAELEWA KUWA NI MARA MBILI KWA SIKU ASUBUHI NA JIONI,LAKINI BADO MAUA YAO YANA NYAUKA.
4.HUAJILI KIJANA WA KUTUNZA BUSTANI NA HUMLIPA GHARAMA KUBWA LAKINI BUSTANI ZAO HAZIRIDHISHI.
HAYA MAMBO MA NNE NDIYO NAKUMBANA NAYO NINAPOTEMBELEA BUSTANI NYINGI HAPA NCHINI,UTAKUTA HALI HII NI HAPA KWETU TU TOFAUTI NA NCHI YA MALAWI ,PIA UTAKUTA WENGI HUTUMIA NYASI KUTOKA NCHI YA MALAWI .NA HUSHINDWA WAFANYEJE NA WATUMIE NJIA GANI.SASA ISACK GARDEN GRAPHIC DESIGN AND PLANTING FLOWERS LTD. TUNATIBA YA BUSTANI YAKO,TAYARI BAADHI YA BUSTANI TULIZOZITEMBELEA AU KUZITENGENEZA WENYEWE WAMEFAIDIKA NA HAKUNA HATA MMOJA AMBAYE AMEWAHI KULALAMIKA NA MATATIZO HAYA.